
Malikia wa Denmark Margeteth II akipokea dafu kutoka kwa mkwezi Hamisi Bata wa kituo cha Utafiti naMafunzo Kizimbani Zanzibar wakati walipo tembelea kituo hicho hivi karibuni.

Malikia wa Denmark Margrethe II akinywa dafu wakatialipotembelea katika kituo chaUtafiti na Mafunzo ya viungo vya chakula Kizimbani Zanzibar hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment