Vitu vya mmoja wa wasomi walalahoi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE), swali linakuja je watu hawa wangekuwa na maisha magumu hapo Chuoni na huko watopapo vitu kama hivi vya nini vyumbani kwao, si wawe na redio ndogo tu kama shida ni habari au Mabwalo ya Vyuo siku hizi hayana TV?. Mbona sekondari tuliweza kusoma kwa kuangalia Tv ya shule tu.
November 13, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TAIFA LETU KWELI KUNA DEMOKRASI AU TUNADANGANYANA TU, YAANI HUYO NI NANI ALIYOTO AMRI HIYO YA KIJINGA KABISA YA KUFUKUZA WATOTO CHUO? HUONI KUWA HUO NI UJINGA WA HALI YA JUU.YAANI KWA KUWA WEWE NA FAMILY YAKO HAMNA SHIDA BASI HATA HUJALI,CHEO NIDHAMANA KUMBUKA WEWE KUWEPO HAPO NI WAZAZI WA HAO UNAOWAFUKUZA NDIO WALIOKUCHAGUA.TUNAOMBA HUU UPUNBAVU UONDOLEWE MARA MOJA KWA SABABU INAUMA SANA KWA SISI WAZAZI,YAANI MIMI NIMSOMESHE MWANANGU KWA DHIKI NA TAABU LEO HII KAFIKA HATUA YA JUU WEWE BILA HURUMA UNAHARIBU MAISHA YA MTOTO KWA ROHO YAKO MBAYA,NASEMA TUTAKUJA KUSHIKIANA MITUTU KAMA TABIA HIZI HAZITOISHA NCHI HII,TUUWANA KWA SABABU WAZAZI HATUTAKUBALI WATOTO KUHARIBIWA MAISHA.KWA NINI MSIKAE MKAZUNGUMZA NAO NAKUBADILISHANA NAO MAWAZO,KAMA WANAVYOELEWA MASOMA NAAMINI WATAELEWA ,SIO WAKATI WOTE WATOTO WANAKOSEA. MTUKUFU RAISI HEBU INGILIA KATI JAMBO HILI KWA SABABU MZAHA MZAHA ......YATAKUWA MAKUBWA .MJUE WAZI YANAYOTENDEKA KONGO,BURUNDI HATA HAPA TANZANIA INAWEZEKANA TUTAUWANA!!!!
ReplyDeleteTAIFA LETU KWELI KUNA DEMOKRASI AU TUNADANGANYANA TU, YAANI HUYO NI NANI ALIYOTO AMRI HIYO YA KIJINGA KABISA YA KUFUKUZA WATOTO CHUO? HUONI KUWA HUO NI UJINGA WA HALI YA JUU.YAANI KWA KUWA WEWE NA FAMILY YAKO HAMNA SHIDA BASI HATA HUJALI,CHEO NIDHAMANA KUMBUKA WEWE KUWEPO HAPO NI WAZAZI WA HAO UNAOWAFUKUZA NDIO WALIOKUCHAGUA.TUNAOMBA HUU UPUNBAVU UONDOLEWE MARA MOJA KWA SABABU INAUMA SANA KWA SISI WAZAZI,YAANI MIMI NIMSOMESHE MWANANGU KWA DHIKI NA TAABU LEO HII KAFIKA HATUA YA JUU WEWE BILA HURUMA UNAHARIBU MAISHA YA MTOTO KWA ROHO YAKO MBAYA,NASEMA TUTAKUJA KUSHIKIANA MITUTU KAMA TABIA HIZI HAZITOISHA NCHI HII,TUUWANA KWA SABABU WAZAZI HATUTAKUBALI WATOTO KUHARIBIWA MAISHA.KWA NINI MSIKAE MKAZUNGUMZA NAO NAKUBADILISHANA NAO MAWAZO,KAMA WANAVYOELEWA MASOMA NAAMINI WATAELEWA ,SIO WAKATI WOTE WATOTO WANAKOSEA. MTUKUFU RAISI HEBU INGILIA KATI JAMBO HILI KWA SABABU MZAHA MZAHA ......YATAKUWA MAKUBWA .MJUE WAZI YANAYOTENDEKA KONGO,BURUNDI HATA HAPA TANZANIA INAWEZEKANA TUTAUWANA!!!!
ReplyDelete