
Mmoja wa watu waliogoma na kufunga njia kushinikiza mafao ya wasataafu wa iliyokuwa Jukuia ya afrika Mashariki iliyovunjika 1977 akijaribu kuvua nguo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam abbass kandoro na Kamnada wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova wakijadili namna ya kuwaondoa wazee hao.

Wazee wakipelekwa Polisi

wazee wakiwa wamefunga njia eneo la daraja la sarenda leo na kusababisha kero kubwa ya watu kuchelewa katika majukumu yao.

Wakiwa wameshika mabango ya kudai haki zao.
0 comments:
Post a Comment