Nafasi Ya Matangazo

June 17, 2008

Mpigapicha za habari wa kituo cha Televisheni cha Channel 10, faraja Kiongole akiambiwa uwiano wa uzito wake na urefu katika banda la Bima ya Afya na mtaalam Ngalela Kateule. NHIF wapo katika maonyesho ya Utumishi wa Umma Mnazi mmoja Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, June 17, 2008 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo