Afisa Habari wa Bunge, Ernest Zulu (kushoto) akitoa maelezo mbalimbali ya shughuli za Bunge kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliotembelea banda la Bunge lililopo katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi mmoja jijini Dar es Dar es Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment