Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kulia kwake) wakiwa na baadhi ya washiriki wa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kuanzia geti la Machame, Juni 14,2008 . Matembezi hayo yaliyoanzishwa na Waziri Mkuu yameandaliwa na mgodi wa Dhahabu wa Geita n yamelenga kuchangia mapambani dhidi ya ukumwi.
Posted by MROKI
On Saturday, June 14, 2008
1 comment
Sidhani kama Mzee Mwinyi atafika Summit.
ReplyDeleteLakini hakuna tatizo kama anataka kujaribu. Mlima ule watu wanapanda kwa mpango. Wanakwenda na guides. Ukichoka ,guide anakurudisha chini.
Ila,Mzee Mwinyi akifanikiwa kupanda,itakuwa ni jambo kubwa sana,ambalo kila mtu[Duniani] ni lazima apate taarifa.
Andrew Nyerere.