
Waziri wa maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Margaret Sitta (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma Junji 14, 2008 juu ya Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yatakayo fanyika Juni 16 mwakahuu nchini kote. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya watoto kutoka wizarani kwake, Alice Ruguyamheto.
0 comments:
Post a Comment