Nafasi Ya Matangazo

June 25, 2015

Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakisalimiana na wanchama wa CCM wilayani Misenyi moani Kagera mara baada ya kuwasili wilayani hapo.
Mke wa january Makamba, Ramona Makamba akisalimia wanchi na wanachama wa CCM wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera wakati Mh January alipofika wilayni hapo kwa ajili kusaka ya kuomba udhamini kutoka kwa wanachama hao utakaomuwezesha kupata ridhaa ya chama kugombea nafasi ya urais wa Tanzania ambapo amejizolea wadhamini zaidi ya 8000.
January Makamba akihutubia wananchi na wanachama wa CCM Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera waliojitokeza katika Viwanja vya CCM Wilayani hapo . January yupo katika ziara yake ya kusaka wadhamini ndani ya chama ambao watamuwezesha kuteuliwa kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM. Ambapo mkoani Sinyanga amejizolea wadhamini 8024 mkoa wa Kagera.
January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakiwapungia mkono wananchi na wanachama wa CCM wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera mara walipowasili wilayani hapo kwa ajili ya kuomba udhamini kutoka kwa wanachama hao utakaomuwezesha kupata ridhaa ya chama kugombea nafasi ya urais wa Tanzania ambapo amejizolea wadhamini zaidi ya 8000.
Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba akivishwa skafu na vijana chipukizi wa CCM wilaya ya Misenyi mara baada ya kuwasili wilayani hapo. Januari, jana alizungumza na wanachama na wananchi wa CCM wilaya ya Misenyi katika harakati ya kutafuta wadhamini wa ndani ya chama kwa ajili ya kupewa ridhaa na chama hicho kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM ambapo amepata wadhamini zaidi ya 8000.
Posted by MROKI On Thursday, June 25, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo