

Mrembo
wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya
pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa
Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye
ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa
kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni
binti wa kwanza Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.
Redd's Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Happiness Watimanywa akimpisha crown,Redd's Miss Tanzania wa sasa,Sitti Mtemvu.



Show ya ufunguzi...

Vazi la ufukweni...

Watazamaji

wanahabari wakifuatilia.

Vanesa Mdee akitumbuiza


wadau wakifuatilia


Majaji wakitafakari



Hatua ya 15 bora

Wazazi wa familia ya Miss Tanzania 2014.

Hii ilikuwa tano bora



Vipongozi kutoka TBL wakifuatilia shindano hilo...

0 comments:
Post a Comment