Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za
mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija,
wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji
wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa
Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili
lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12,
2014
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima
za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija,
wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji
wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa
Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili
lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12,
2014.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akisaini katika
Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya
Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa
zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akisaini katika
Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya
Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa
zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
Askari wa
Bunge la Jamhuri, wakibeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama
cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William
Shija, wakati wakiwasili kwenye viwanja vya Karimjee kwa ajili ya zoezi la
kuagwa mwili, leo Oktoba 12, 2014.
Rais Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakijumuika na waombolezaji wakati wa zoezi la kuagwa mwili wa aliyekuwa Katibu
Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt.
William Shija, katika Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya
Kikwete, akiteta jambo na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wakiwa
katika Viwanja vya Karimjee wakijumuika na waombolezaji wengine katika zoezi la
kuagwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Madola, marehemu Dkt. William Shija
Makamu wa
Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na baadhi ya viongozi waliohudhuria zoezi hilo la kuagwa mwili wa marehemu.
Sehemu ya
waombolezaji waliojitokeza kuaga mwili wa marehemu.
0 comments:
Post a Comment