Nafasi Ya Matangazo

January 24, 2013

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter na Rais w Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) Leodegar Chilla Tenga (kulia) wakati Rais Kikwete na ujumbe wake walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum wa FIFA.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akimweleza jambo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter (kulia) kuhusiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodeger Chilla Tenga. Tenga ambaye pia ni Mwenyeketi wa  Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki (CECAFA).
 Rais wa FIFA Joseph Sepp Blatter akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete bendera maalum ya FIFA.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter wakiwa katika mazungumzo wakati Rais Kikwete na Ujumbe wake walipo walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum wa FIFA.
Posted by MROKI On Thursday, January 24, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo