Nafasi Ya Matangazo

June 26, 2012

Mdau Nathan Mpangala mmoja wa wachoraji maarufu wa katuni nchini yuko nchini Marekani katika chuo Kikuu cha Tufts University, Massachusetts,  akihudhuria kozi fupi inayoitwa Nonviolent Conflict and Social Movement.Ni kozi inayohusisha waandishi wa habari, wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali duniani kote Fullshangweblog inamtakia kozi njema mdau Nathan na urejee salama kulitumikia taifa lako Tanzania.

Hapa akiandika mambo muhimu yanayojadiliwa  na kufundiswa katika kozi hiyo inayoendelea nchini Marekani.
Posted by MROKI On Tuesday, June 26, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo