Nafasi Ya Matangazo

June 01, 2012

Kikundi cha muziki wa taratibu (classic) cha Dar Choral Society kikitoa burudani katika onyesho la muziki huo lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.
 Meneja Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo akitoa maelezo kwa  Mkuu wa Biashara wa Benki ya Africa, Wasia Mushi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Airtel  katika onyesho kikundi cha Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana
Baadhi ya waimbaji wa kikundi cha Dar Choral Society wakiimba katika onyesho la lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya watu wakiohudhuria onyesho hilo wakipata maelezo ya huduma zitolewazo na Airtel katika eneo lililowekwa ambapo huduma mbalimbali zilipatikana.

 Baadhi ya watu waliohudhuria onyesho la kikundi cha muziki cha Dar Choral Society wakishangilia katika onyesho hilo lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam jana
Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola (kushoto) akizungumza na baadhi ya watu  waliohudhuria onyesho la kikundi cha muziki cha  Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam jana.
Posted by MROKI On Friday, June 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo