Nafasi Ya Matangazo

November 09, 2011

 Wanafunzi kutoka shuleza sekondari wakiwa katika banda la Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) lililopo Manzi Mmoja jijini Dar es Salaam yanapoendelea maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru. TTCL ni miongoni mwa makampuni ya mwanzo ya huduma ya mawasiliano nchini. Maonresho haya yameandaliwa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
 Hiki ndo kizazi ambacho haswakina pendakupata historia halisi ya Uhuru wa Tanganyika, miongoni mwa Makampuni ya Mwanzo ni TTCL na hapa wanafunzi wakipata zawadi na vipeperushi juu ya Historia ya Kamouni hiyo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dk. Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wa Wizara (kulia) wakipata maelezo ya historia ya TTCL hapo zamani.
Posted by MROKI On Wednesday, November 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo