Nafasi Ya Matangazo

September 18, 2011

Moto mkali uliozuka majira ya saa 9 usiku hii leo umeteketezabaadhi ya vibanda vya biashara na mali katika soko dogo la Forest jijini Mbeya kablaya vikosi vya zima moto vikiongozwa na Mkuu waWilaya Evans Balama kufanikiwakuuzima moto huo. Moto huu umezuka tena ikiwa ni siku chache tu baadaya moto  mwingine kuteketeza soko jijini humo wiki hii. 

Picha: LATEST NEWS TZ
Posted by MROKI On Sunday, September 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo