Nafasi Ya Matangazo

December 19, 2009

Tshalla Muana akiwa jukwaani akiwajibila licha ya mwili mkubwa alionao sasa.
Mashabiki wakifuatilia shoo hiyo maalum kwa umakini vitini.
Mmoja wa wanadada wa Tshalla Muana akitumbuiza.
Wadau kutoka kampuni ya Sigara TCC wakiongozwa na Unguu (kulia) wakiwa ukumbini. 
Mashabiki walishindwa kuvumilia na kuamua kuachia viti. Hii ndani ya Ubungo Plaza usiku huu.
Posted by MROKI On Saturday, December 19, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo