Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2026


Dodoma
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa  Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho ya  Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026 yaliyoanza leo jijini Dodoma. 

Maadhimisho ya mwaka huu yamepambwa na kaulimbiu inayosema "Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu"




Posted by MROKI On Tuesday, June 16, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo