Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizindua maonesho ya mazingira katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 05, 2026Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akikagua mabanda ya maonesho katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 05, 2026
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akikagua mabanda ya maonesho katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 05, 2026
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa Juni mosi, 2026 akiwasili katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufungua maonesho ya mazingira ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 05, 2026. Anayempokea ni Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda.



.jpg)





0 comments:
Post a Comment