Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wagombea wa nafasi ya
Urais wa Vyama vya Siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwezi
Oktoba, 2025 mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 31
Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Wagombea wa
Nafasi ya Urais na Wagombea Wenza kutoka vyama vya Siasa 16 vilivyoshiriki
Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwezi Oktoba, 2025. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wagombea Wanawake katika
nafasi ya Urais pamoja na Wagombea Wenza wa Vyama vya Siasa 16 vilivyoshiriki
Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwezi Oktoba, 2025 mara baada ya mazungumzo yao,
Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wagombea wa nafasi ya Urais
pamoja na Wagombea Wenza wa Vyama vya Siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu
uliofanyika mwezi Oktoba, 2025 mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar
es Salaam tarehe 31 Machi, 2026.

.jpeg)
.jpeg)

0 comments:
Post a Comment