Viongozi na waombolezaji mbalimbali wamewasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Uratibu na Wenye Ulemavu) marehemu Mhe. William V. Lukuvi, Area D Jijini Dodoma.Mhe. Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.



.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)





.jpeg)





0 comments:
Post a Comment