Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amefanya uteuzi wa viongozi na kumpangia kituo Balozi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kupangiwa kituo ni kama ifuatavyo:-
(i) Bw. Adam Joseph Mrisho ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS);
(ii) Balozi Prof. Elizabeth Kiago Kiondo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania. Balozi Prof. Kiondo anachukua nafasi ya Prof. Rwekaza Sympho Mukandala ambaye amemaliza muda wake; na







0 comments:
Post a Comment