Matukio mbalimbali yaliyojiri kabla ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya vikao na Viongozi
mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe
3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiondoka eneo la mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026),
tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi, Umoja wa
Falme za Kiarabu Mhe. Dkt. Maitha Salem Al Shamsi muda mfupi kabla ya kufanya
vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za
Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa
Falme za Kiarabu (UAE).Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Ethiopia Mhe. Aye Atske-Selassie kabla ya kufanya vikao na
Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026),
tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Angola
Mhe. João Lourenço kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa
mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat
Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo Mhe. Vjosa
Osmani-Sadriu kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa
mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat
Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).









0 comments:
Post a Comment