Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, George Masaju akimuapisha Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Mhe. Dkt Samia Suhuhu Hassan akisaini hati ya kiapo cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuapa.
Jaji Mkuu Mhe. George Masaju akimkabidhi Katiba Rais Mteule wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan


.jpeg)
















.jpeg)





0 comments:
Post a Comment