Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga
kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba,
2025.

Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha
Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akionesha alama ya wino kwenye kidole mara baada ya kupiga kura katika Kituo
cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.

.jpeg)

0 comments:
Post a Comment