Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2025

Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu ambalo limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akikata utepe  kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Idara na vitengo mbalimbali vya TRA mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

Posted by MROKI On Monday, June 16, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo