MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa
Oktoba mwaka huu mkakati wa ‘Mitano Tena’ ni kwa mgombea urais, Dk. Samia
Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza wake, Dk. Emmanuel Nchimbi, lakini wabunge na
madiwani wasubiri mchujo ndani ya Chama.

0 comments:
Post a Comment