Nafasi Ya Matangazo

April 23, 2025

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2025. Kutoka kulia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia  ya Habari ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, Waziri wa Madini  na Mbunge wa Dodoma Mjini,  Anthony Mavunde, na  wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi,  na Mbunge wa Ileje, Mhandisi Godfrey Kasekenya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia michango ya wabunge, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Madini ambaye pia ni  Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2025.
Posted by MROKI On Wednesday, April 23, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo