Nafasi Ya Matangazo

April 02, 2025


BabababKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara yake ya siku 5. Uwanjani hapo, Balozi Nchimbi amepokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mtwara, Ndugu Saidi Musa Nyegedi.





Posted by MROKI On Wednesday, April 02, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo