Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa Mbio za Mwenge kwa Mwaka 2025 Bw.
Ismail Ali Ussi mara baada ya kuzindua Mbio hizo katika Uwanja wa Shirika la
Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 April 2025
Wakimbiza
Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 wakiingia katika Uwanja wa Shirika la Elimu
Kibaha mkoani Pwani tayari kwa kuanza zoezi la kukimbiza Mwenge wakati wa
Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 uliyofanyika Kibaha
mkoani Pwani tarehe 02 Aprili 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025
katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili
2025.




0 comments:
Post a Comment