Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2025

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu amefanya uteuzi wa Kamati ya Kuunda ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari liyotolewa mapema leo Februari 6, 2025 ametangaza majina ya aliowateua na nafasi zao kama ifuatavyo:

Mwenyekiti wa kamati, Emmanuel Lazarus Mvula na Katibu wa Kamati ni Idrisa Kweweta.

Wajumbe ni Dk. Elizabeth Sanga, Prof. Omar Fakih, Mary Mongi, Mtutura Abdallah Mtutura, Pavu Abdallah, Edgar Mkosamali, Abdul Nondo, Yasinta Cornell Awiti, Seif Suleiman Hamad, Shangwe Ayo, Humphrey Mrema, Maharagande Mbarala.

Taarifa hiyo iliongeza Kuwa upande wa Sekretarieti ya Kamati walioteuliwa ni Mshenga Juma, Jasper Sabuni, Jackline Prosper Ndonde na Said Mahalifa.
Posted by MROKI On Monday, February 10, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo