Balozi Dkt. Mpoki
Ulisubisya, miongoni mwa nyadhifa ambazo
amewahi kushika serikalini ni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Balozi wa Tanzania Nchini Canada.
Aidha, ni Daktari Bingwa wa utoaji dawa za Usingizi na Maumivu nchini na alipata kufanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
0 comments:
Post a Comment