Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza na wananchi wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Mikumi yaliyofanyika ndani ya hifadhi hiyo kwenye uwanja wa mpira Kikoboga mkoani Morogoro Agosti 31,2024.
Meza kuu ikifuatilia matukio wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Mikumi yaliyofanyika ndani ya hifadhi hiyo kwenye uwanja wa mpira Kikoboga mkoani Morogoro Agosti 31,2024. Kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb), Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Musa Kuji, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Wanyamapori, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Fortunata Msofe na Mkuu wa Kanda ya mashariki ,Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Uhifadhi, John Anthony Nyamhanga.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)(hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Mikumi yaliyofanyika ndani ya hifadhi hiyo kwenye uwanja wa mpira Kikoboga mkoani Morogoro Agosti 31,2024.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akikata keki pamoja na Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Musa Kuji, Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Augustine Masses, wawakilishi wa Wakuu wa Wilaya za Kilosa, Mvomero, baadhi ya watumishi wa Hifadhi ya Taifa Mikumi akizungumza na baadhi wananchi wanaozunguka hifadhi ya Taifa ya Mikumi.

******************
Miaka 60 ya kuanzishwa kwa
Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini
yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
0 comments:
Post a Comment