Nafasi Ya Matangazo

September 01, 2024

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng’umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido.

Ng'umbi aliapishwa kushika wadhifa huo Januari 31, 2023 na leo Septemba 1, 2024 ametenguliwa na huku chanzo kikielezwa kuwa ni video yake inayosambaa mitandaoni akizungumza katika Baraza la Madiwani juu ya namna walivyoshinda katika nafasi zao huku akijinasibu kuwa yeye alishiriki. 

Posted by MROKI On Sunday, September 01, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo