Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2024

L


Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Eng. Ramadhani Lwamo ametembelea Banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Ameelekeza elimu kuhusu fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini kuendelea kutolewa kupitia majukwaa, semina, mikutano mbalimbali sambamba na vyombo vya habari ili kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini.






B
Posted by MROKI On Thursday, August 08, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo