Nafasi Ya Matangazo

August 24, 2024

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman, kwenye msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mkewe, Nachingwea mkoani Lindi Agosti 24, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman, kwenye msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mkewe, Nachingwea mkoani Lindi Agosti 24, 2024. Kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za ya mwisho kwenye msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mke wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman, Nachingwea mkoani Lindi Agosti 24, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mke wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman, Nachingwea mkoani Lindi Agosti 24, 2024. Waziri Mkuu alitoa pole kwa Niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Wanafamilia, ndugu, jamaa na waombolezaji wote kutokana na msiba huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo wakati alipohani msiba wa Jokha Hassan Omary ambaye ni Mke wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman, Nachingwea mkoani Lindi.

Posted by MROKI On Saturday, August 24, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo