Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza jana Agosti 26 na kumalizika leo Agosti 27, 2024 Mkoani Mkoani Mara.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani, akizungumza wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza jana Agosti 26 na kumalizika leo Agosti 27, 2024 Mkoani Mkoani Mara.
***************
Na Mwandishi wetuWatendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wametakiwa kuwepo katika vituo vya kuandikisha wapiga kura muda wote hata kama hakuna waombaji wa kujiandikisha vituoni.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele wakati akifunga mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji ngazi ya mkoa wa Mara na halmashauri za mkoa huo.
Amesema watendaji wa vituo wanapaswa kuwepo vituoni muda wote kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa 12 kamili jioni kila siku katika siku saba za kujiandikisha zilizowekwa na Tume.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo kutoka mkoa wa Manyara.
Meza Kuu wakiwa katika picha wakati wa kufunga mafunzo kwa mkoa wa Manyara.Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Magdalena Rwebangira akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo kwa upande wa Mkoa wa Simiyu. Washiriki wakisikiliza kwa makini hotuba ya kufunga mafunzo.
Washiriki kutoka Mkoa wa Simiyu wakishiriki mafunzo kwa vitendo
0 comments:
Post a Comment