Nafasi Ya Matangazo

May 06, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa Kitaifa kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2024. Kikao hicho kiliitishwa na Waziri Mkuu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama wakati akitoa taarifa ya kina kuhusu athari za Kimbunga Hidaya katika kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa Kitaifa kilichofanyika kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2024. Kikao hicho kiliitishwa na Waziri Mkuu 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiiza Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz akitoa maelezo mafupi kuhusu athari za Kimbunga Hidaya katika kikao cha kamati ya darura ya Maafa Kitaifa  kilichofanyika kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2024. Kikao hicho kiliitishwa na Waziri Mkuu.

Posted by MROKI On Monday, May 06, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo