Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ameshiriki Mkutano huo kwa njia ya mtandao kutokea Ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 20, 2024. Pichani, Waziri Mkuu akizungumza katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ameshiriki Mkutano huo kwa njia ya mtandao kutokea Ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 20, 2024. Pichani, Waziri Mkuu akimsikiliza Mwenyekiti wa Mkutano huo na Rais wa Angola, Joao Lourenco alipofunga mkutano huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment