Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Switzerland nchini Mhe. Didier Chassot yaliyofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam, Mei 7, 2024.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akimsikiliza Balozi wa Switzerland nchini Mhe. Didier Chassot kwenye mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam, Mei 7, 2024.

Mazungumzo yakiendelea
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba na Balozi wa Switzerland nchini Mhe. Didier Chassot wakibadilishana mawazo muda mfupi baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam.**************
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January
Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Balozi wa Switzerland nchini Mhe.
Didier Chassot leo tarehe 7 Mei 2024 katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es
Salaam.
0 comments:
Post a Comment