Nafasi Ya Matangazo

April 05, 2024


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisoma nyaraka ya masuala ya ushirikiano kati ya Tanzania na Urusi wakati alipokuwa akionyeshwa na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kulia), katika mazungumzo yao yaliyofanyika, jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kulia), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Posted by MROKI On Friday, April 05, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo