Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.
Wageni
mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza
la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mufti wa Tanzania Sheikh Mkuu Dkt. Abubakar
Zubeir Bin Ally wakati wa Baraza
la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama
Shamim Khan wakati wa Baraza la Eid El Fitr
ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mufti wa Tanzania Sheikh Mkuu Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid
Omar pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam
Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Baraza
la Eid El Fitr tarehe 10 Aprili, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi
kutoka kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania
(JUWAKITA) Mama Shamim Khan ambaye aliwasilisha kwa niaba ya Wanajumuiya
wenzake wakati wa Baraza la Eid El Fitr lililofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili,
2024.
0 comments:
Post a Comment