Nafasi Ya Matangazo

February 02, 2024

[Meli MV AALIZEE iliyobeba shehena ya sukari maalum kwa ajili ya kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo muhimu nchini tayari imetia nanga bandari ya DSM ili kupakuliwa kwa bidhaa hiyo kupelekwa sokoni

Shehena hiyo iliyoingizwa na Kagera Sugar imewasili bandarini ikiwa ni muda mchache baada ya bandari hiyo kuihudumia meli MV JPO Aquarius iliyoshusha shehena ya Kilomnero Sugar

Posted by MROKI On Friday, February 02, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo