Nafasi Ya Matangazo

January 31, 2024



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce Chandika na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Posted by MROKI On Wednesday, January 31, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo