Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Januari 26, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Januari 26, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Januari 26, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya, akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika jijini Dodoma, leo Januari 26, 2024. Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura, wakati alipokuwa anawasili katika Kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2023/2024, kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Januari 26, 2024. Katikati ni Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya na kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF John Masunga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

0 comments:
Post a Comment