Nafasi Ya Matangazo

January 30, 2024

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni  Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima. 
 Wajumbe wa Tume wakiendelea na kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. 








Posted by MROKI On Tuesday, January 30, 2024 4 comments

4 comments:

  1. Safi sana father Kidevu kwa kutuabarisha, Tume endeleeni kupiga kazi kwa mujibu wa sheria

    ReplyDelete
  2. Kazi iendeelee

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo