Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika sala ya kumuombea kaka yake marehemu Issa Nangalapa nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Nachingwea kabla ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Magalani Ruangwa Mkoa wa Lindi , Novemba 6, 2023.Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza katika sala ya kumuombea kaka yake Waziri Mkuu, marehemu Issa Nangalapa nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Nachingwea kabla ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Magalani Ruangwa Mkoa wa Lindi, Novemba 6, 2023.
Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson Mwansasu akizungumza katika sala ya kumuombea kaka yake Waziri Mkuu, marehemu Issa Ngalapa nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Nachingwea kabla ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Magalani Ruangwa Mkoa wa Lindi , Novemba 6, 2023.
Baadhi ya waombolezaji wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza katika sala ya kumuombea kaka yake marehemu Issa Ngalapa nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Nachingwea kabla ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Magalani Ruangwa, Novemba 6, 2023.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akiweka udongo kwenye kaburi la kaka yake Waziri Mkuu, marehemu Issa Nangalapa katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Magalani, Ruangwa Mkoa wa Lindi, Novemba 6, 2023.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment