Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa nembo ya 5G
kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Airtel Afrika Dkt. Olusegun
Ogunsanya mara baada ya uzinduzi uliofanyika Mbezi Tanki Bovu Jijini Dar es
Salaam tarehe 10 Agosti, 2023.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe
kuashiria uzinduzi wa Mtandao wenye kasi ya 5G wa Kampuni ya Airtel Tanzania katika
hafla iliyofanyika Kituo cha Mkongo wa
Mawasiliano Baharini cha Kampuni ya Airtel Tanzania kilichopo Mbezi Tanki Bovu
Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Agosti, 2023.Roboti
akiwa amebeba nembo ya 5G mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Mtandao wenye kasi ya 5G wa Kampuni ya Airtel
Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Mbezi Tanki Bovu Jijini Dar es Salaam tarehe
10 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amevaa Kifaa Maalum cha
kumuwezesha kuona kwa ukaribu matukio mbalimbali Duniani kijulikanacho kama
Teknolojia Ukweli Halisi (Virtual Reality Device) mara baada ya kuwasili
katika Kituo cha Mkongo wa Mawasiliano Baharini cha Kampuni ya Airtel Tanzania
kilichopo Mbezi Tanki Bovu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Agosti, 2023. Wengine
katika picha ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Habari, Mawasiliano
na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Mawasiliano na Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania Dinesh Balsingh wakishuhudia
tukio hilo.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakati akimsikiliza Waziri wa
Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye kuhusu Mkongo wa
Mawasiliano wa Baharini wa 2Afrika kabla ya kuuzindua katika Kituo hicho cha
Kampuni ya Mawasiliano na Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania kilichopo Mbezi
Tanki Bovu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Agosti, 2023.Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa
kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mkongo wa Baharini cha Airtel 2Afrika kilichopo
Mbezi Tanki Bovu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Agosti, 2023. Wengine pichani
ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert
Chalamila, Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Airtel Afrika Dkt. Olusegun
Ogunsanya, Mtendaji Mkuu wa Airtel Tanzania Dinesh Balsingh pamoja na viongozi
wengine wakishuhudia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo
cha Mkongo wa Baharini cha Airtel 2Afrika pamoja na Mtandao wenye kasi ya 5G wa
Kampuni ya Mawasiliano ya Artel Tanzania iliyofanyika Mbezi Tanki Bovu Jijini
Dar es Salaam tarehe 10 Agosti, 2023.Viongozi
mbalimbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa
Kituo cha Mkongo wa Baharini cha Airtel 2Afrika pamoja na Mtandao wenye kasi ya
5G wa Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania iliyofanyika Mbezi Tanki Bovu
Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Agosti, 2023.
Viongozi

0 comments:
Post a Comment