Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la Msingi
Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar
tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu
wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna kuhusu Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani,
Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kufungua Chumba
cha Kompyuta na ukumbi wa Mtihani wa Skuli ya Sekondari ya Muyuni B kwenye
hafla fupi iliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023
katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine
wakati akikata utepe kufungua Chumba cha Kompyuta na ukumbi wa Mtihani wa Skuli
ya Sekondari ya Muyuni B kwenye hafla fupi iliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja
Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi
tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe
kufungua Chumba cha Kompyuta na ukumbi wa Mtihani wa Skuli ya Sekondari ya
Muyuni B kwenye hafla fupi iliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika
shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi tarehe 29
Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akikagua
Madarasa ya Shule ya Msingi Muyuni B mara baada ya ufunguzi katika Mkoa wa
Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na viongozi
wengine mara baada ya kufungua Madarasa 6 ya jengo la Skuli ya Msingi Muyuni B
tarehe 29 Agosti, 2023 Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za
kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.












0 comments:
Post a Comment