Muonekano wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Central Tanganyika ambalo limefunguliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo kwenye Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe pamoja na Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dkt. Dickson Chilongani kuashiria ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo kwenye Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023. Engine katika picha ni Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Mhashamu Dkt. Maimbo Mndolwa pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa hilo nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dkt. Dickson Chilongani wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo lililopo katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi
mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya
kufungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo katika Sherehe
zilizofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma
tarehe 15 Agosti, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa la Anglikana Tanzania wakiwa kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) kwa ajili ya Sherehe za ufunguzi wa jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na waimbaji wa
Kwaya ya Safina wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina
House) la Kanisa hilo lililopo katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu
Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Muonekano wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Central Tanganyika ambalo limefunguliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu tarehe 15 Agosti, 2023.

0 comments:
Post a Comment