Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akizunguma na mshindi wa TV Bw, Nasoro Mwatanguru wa Dar es Salaam katika droo ya tatu ya washindi wa promosheni ya 'Airtel Money Vimba na Timiza Akiba Ushinde' kushoto ni Msimamizi wa Bodi ya michezo ya kubahatisha bw, Elibariki Sengasenga
Meneja Masoko wa Letshego Benki Bw, Selestine Nachenga (kulia) akiongea na waandishi wa Habari wakati wa droo ya tatu ya Airtel Money Vimba na Timiza Akiba Ushinde' inayoendeshwa na Airtel kupitia huduma yake ya Airtel Money kwa lengo la kuhamasisha wateja wa Airtel Money na Watanzania kwa ujumla kujiwekea akiba kidigitali. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando na kushoto ni Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania Elibariki Sengasenga.

.jpg)




0 comments:
Post a Comment